WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI KANGI LUGOLA AANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI JESHI LA MAGEREZA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akipokea Salaam ya heshima kutoka kwa gadi maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake ikiundwa na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akikagua gadi ya heshima iliyoandaliwa kwa ajili yake alipofanya ziara ya kikazi katika Jeshi la Magereza leo Julai 11,2018 jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akisalimiana na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza mara baada ya kukagua gwaride maalum. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa na aliyeshikanaye mkono ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Musa Kaswaka.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiwa Makao Makuu ya Jeshi hilo kabla ya kuendelea na ziara yake katika Kiwanda cha Seremala gereza Kuu Ukonga, Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji na baadaye kuongea na Maa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More