WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAMWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza wakati wa Kikao na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Katikati ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye na kushoto ni Kamishna wa Usalama dhidi ya moto, Jesuald Ikonko. Kikao hicho kimefanyika ofisi ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza wakati wa Kikao na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Katikati ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye na kushoto ni Kamishna wa Usalama dhidi ya moto, Jesuald Ikonko. Kikao hicho kimefanyika ofisi ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akiwasilisha taarifa ya shughuli za jeshi hilo mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia), wakati wa ziara ya waziri alipotembelea makao makuu ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Maafisa wa Jeshi la... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More