Waziri Kigwangalla Mgeni Rasmi mbio za Rock City Marathon - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Kigwangalla Mgeni Rasmi mbio za Rock City Marathon

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla anatarajiwa kuongoza maelfu ya washiriki wa mbio za Rock City Marathon zinazoratarajiwa kufanyika Oktoba 20, mwaka huu kwenye viunga vya Jengo la Biashara la Rock City Mall, jijini Mwanza.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mapema hii leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mbio hizo, Bw Clement Mshana, ushiriki wa Waziri Kigwangalla unaenda sambamba na ushiriki wa viongozi wengine waandamizi wa serikali kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw John Mongella ambaye tayari amethibitisha kushiriki katika mbio za KM 42. “Uwepo wa Waziri mwenye dhamana na masuala ya utalii kwenye mbio hizi unatokana na yeye kuunga mkono agenda iliyobebwa na mbio hizi ambayo mbali na kukuza vipaji vya mchezo huo ni kutangaza utalii hususani katika  ukanda wa Ziwa kupitia mchezo wa riadha,’’Alisema Mbio hizo zilizoanzishwa miaka kumi iliyopita zinatarajiwa kupambwa na burudani mbalimbali zikiwemo ngom... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More