WAZIRI LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WANAOWAPOTOSHA WANANCHI UANDIKISHAJI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WANAOWAPOTOSHA WANANCHI UANDIKISHAJI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), ajiandikisha katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali ya Mitaa, katika Kituo cha Senta, Kijiji cha Nyamitwebili, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, leo. Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi Nchini, kuwakamata na kuwafunguliwa mashataka watu ambao wanawapotosha wananchi kutokujitokeza kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mwandikishaji wa Kituo Kituo hicho, Nicolaus Zakaria. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimpongeza Mwandikishaji wa Kituo Kituo cha Senta, Kijiji cha Nyamitwebili, Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, Nicolaus Zakaria, baada ya kujiandikisha katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali ya Mitaa. Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi Nchini, kuwakamata na kuwafunguliwa mashataka watu ambao wanawapotosha wananchi kutokujitokeza kujiandikisha kwa ajili ya uchaguz... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More