WAZIRI LUGOLA AENDA KUHANI MSIBA NYUMBANI KWA MWANAHABARI MAREHEMU SAGATI, MWIBARA- BUNDA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA AENDA KUHANI MSIBA NYUMBANI KWA MWANAHABARI MAREHEMU SAGATI, MWIBARA- BUNDA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mwanahabari marehemu Shadrack Sagati, katika Kijiji cha Mwiruruma, Kata ya Iramba, Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara. Waziri Lugola alifika msibani ili kutoa pole kwa wafiwa kijijini hapo, leo Jumamosi Agosti 11, 2018. Wapili kutoka kulia ni Mfungo Sagati, baba wa marehemu, na kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Isaka Mahera. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (kushoto) akimpa mkono wa pole Mfungo Sagati, baba wa Mwanahabari marehemu Shadrack Sagati, mara baada ya Waziri huyo kufika cha Kijiji cha Mwiruruma, Kata ya Iramba, Mwibara, Wilaya ya Bunda, Mkoani wa Mara kwa ajili ya kutoa pole kwa familia. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (katikati) akizungumza na Dora Mwishangi (kushoto)... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More