WAZIRI LUGOLA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA JIJINI DODOMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA JIJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Lugola, jijini Dodoma leo.Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke (kushoto) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Lugola, jijini Dodoma leo.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akimkaribisha ofisini kwake jijini Dodoma, Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke kwa ajili ya mazungumzo ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Na Felix Mwagara, MOHA 
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amefanya mazungumzo na Balozi  wa Uingereza nchini, Sara Cooke na kumuakikishia ushirikiano zaidi kati  ya Wiza... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More