WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI IRIS YA NCHINI MALAYSIA, WAKUBALIANA KUONGEZA KASI UZALISHAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI IRIS YA NCHINI MALAYSIA, WAKUBALIANA KUONGEZA KASI UZALISHAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Rais wa Kampuni ya Iris Corporation Berhard ya nchini Malaysia, Dato’ Paul Poh (wapili kulia) katika kikao cha kujadili uzalishaji wa kasi wa vitambulisho vya taifa nchini, kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Pia, viongozi hao walikubaliana kuboresha mitambo ya uzalishaji wa vitambulisho hivyo kwa wingi zaidi. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Anord Kihaule. Kulia Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Shaiful Subhan. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Kampuni ya Iris Corporation Berhard ya nchini Malaysia, Dato’ Paul Poh, mara baada ya kumaliza Kikao chao kilichoshirikisha Menejimenti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa na viongozi mbalimbali wa Kampuni hiyo, katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiy... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More