WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara na Taasisi zake katika kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kwa kipindi cha mwezi Agosti hadi Oktoba, 2018. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwa Waziri Lugola ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati meza kuu) akifuatilia kwa makini taarifa ya Jeshi la Polisi iliyokua inasomwa na Kamishna wa Polisi Jamii, Musa Ali Musa (kulia), kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Polisi nchini, katika kikao kilichokua kinajadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kwa kipindi cha mwezi Agosti hadi Oktoba, 2018. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu. Picha na Wizara ya Mambo y... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More