WAZIRI LUGOLA ATOA MILION 40 UJENZI SEKONDARI JIMBONI MWIBARA, AMWAGA ZAWADI WASHINDI WA KANGI BONANZA LA MICHEZO BUTIMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA ATOA MILION 40 UJENZI SEKONDARI JIMBONI MWIBARA, AMWAGA ZAWADI WASHINDI WA KANGI BONANZA LA MICHEZO BUTIMBA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bulimba katika Kiwanja cha Mpira cha Victoria, Jimbo la Mwibara, wilayani Bunda, kabla ya Waziri huyo kugawa zawadi ya mshindi wa Bonanza la Kangi la mpira wa miguu ambapo timu ya mpira wa miguu ya Muungano pamoja na Miseni zote zinatoka Kata ya Butimba zilicheza. Lugola alitoa shilingi milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya kidato cha tano na sita katika shule ya Sekondari Bulimba. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (kulia) akimuangalia Kapteni wa timu ya mpira wa miguu ya Muungano, Bwire Metwisele wakati alipokua anashangilia mara baada ya Waziri huyo kumkabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa Bonanza la Kangi, kwa kuifunga timu ya Miseni magoli mawili bila. Timu zote zinatoka Kata ya Butimba wilayani Bunda, Mkoa wa Mara. Pia Lugola alitoa shilingi milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya kidato ch... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More