WAZIRI LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA WANAOINGIZA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI, AONGOZA KAMATI YA BUNGE KUKAGUA UJENZI MAKAO MAKUU UHAMIAJI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA WANAOINGIZA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI, AONGOZA KAMATI YA BUNGE KUKAGUA UJENZI MAKAO MAKUU UHAMIAJI DODOMA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakati wajumbe hao walipotembelea eneo litakalojengwa Jengo la Makao Makuu ya Uhamiaji, Jijini Dodoma, leo. Ujenzi wa jengo hilo ambao tayari umenza, unatarajiwa kukamilika baada ya miezi 16. Katikati aliyevaa kofia ni Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Victor Mwambalaswa. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.   


Katibu wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ramadhan Abdallah, akitoa taarifa ya Kamati hiyo, katika kikao chao na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Kushoto meza kuu ni Waziri wa Wizara hiyo, Kangi Lugola. Katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Victor Mwambalaswa. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More