WAZIRI LUGOLA AWATULIZA MADEREVA WALIOTAKA KUGOMA NCHINI, AAGIZA WAMILIKI WA MAGARI KUTOA MIKATABA YA KAZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA AWATULIZA MADEREVA WALIOTAKA KUGOMA NCHINI, AAGIZA WAMILIKI WA MAGARI KUTOA MIKATABA YA KAZI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Bwalo la JKT Umwema, mjini Morogoro, leo. Waziri Lugola amewatuliza madereva wa vyombo vya moto waliotaka kugoma kutokana na kutopewa mikataba ya kazi, matumizi mabaya ya tochi pamoja na ulipaji wa faini na kusimamishwa hovyo na matrafiki mabarabarani. Lugola mewataka wamiliki wa vyombo vya moto nchini kutoa mikataba ya kazi kwa madereva na wafanyakazi mbalimbali katika makampuni yao. Katikati ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kushoto), akifurahi jambo wakati alipokua anamsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wasafirishaji Nchini, Chuki Shaban alipokuwa akizungumza katika kikao cha Wadau wa usafirishaji kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Bwalo la JKT Umwema, mjini Morogoro, jana. Waziri Lugola amewatuliza madereva wa vyombo vya moto waliotaka kugoma kutokana n... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More