WAZIRI LUGOLA, MWAKILISHI UNHCR WAJADILIANA MASUALA YA WAKIMBIZI WALIOPO NCHINI, JIJINI DAR LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA, MWAKILISHI UNHCR WAJADILIANA MASUALA YA WAKIMBIZI WALIOPO NCHINI, JIJINI DAR LEO


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimfafanulia jambo Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kulia) wakati Mwakilishi huyo alipomtembelea Waziri huyo ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kuwahudumia Wakimbizi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya wakimbizi wa Wizara hiyo, Harrison Mseke. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto) alipokua anamfafanulia wakati walipokuwa wanaagana mara baada ya kumaliza kikao chao cha kujadili masuala mbalimbali ya kuwahudumia Wakimbizi nchini. Kikao hicho kilifanyika katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi wa Wizara hiyo, Harrison Mseke, wapili kushoto ni Mwakilishi Msaidizi wa UNHCR, Ze... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More