WAZIRI LUGOLA, ZUNGU WAFANYA OPERESHENI KUWASAKA MATEJA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM, RPC ILALA APEWA AGIZO ZITO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI LUGOLA, ZUNGU WAFANYA OPERESHENI KUWASAKA MATEJA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM, RPC ILALA APEWA AGIZO ZITO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azan Zungu (kulia), wakiwasaka watumia dawa za kulevya (mateja) ambao wanafanya matukio ya uhalifu katika Bonde la Jangwani, Ilala, Jijini Dar es Salaam. Lugola alimpa saa nne Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, kuwakamata wahalifu hao na ifikapo muda huo atafika kituo cha Polisi Msimbazi kwa ajili ya kuwaona watuhumiwa hao. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akimsalimia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, ACP Zuberi Chembera, alipompigia simu afike katika eneo la Bonde la Msimbazi, kuongeza kasi ya kuwasaka watumia dawa za kulevya (mateja) ambao wanatuhumiwa kufanya matukio ya ukabaji, na upora wa mali za watu mbalimbali katika eneo hilo. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kulia) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azan Zungu (wapili kulia), wakiwasaka watumia dawa za kulevya (mateja) ambao wanafanya m... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More