WAZIRI MHAGAMA AFUNGA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI MKOANI ARUSHA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MHAGAMA AFUNGA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI MKOANI ARUSHA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (MB) akizungumza na washiriki na watembeleaji wa maonesho ya Nanenane kanda ya Kaskazini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (MB) akimshika ng’ombe aina ya Sahiwal alipotembelea banda la maonesho ya wanyama la Halmashauri ya wilaya ya Longido. (Kulia) Mkuu wa Mkoa wa Bw. Mrisho Gambo. Mjasiriamali Bi. Lilian Mhando akimweleza jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (MB) kuhusu unga wa mbegu za maboga alipotembelea banda la wajasiriamali waliopo SIDO. (Kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Bw. Mrisho Gambo. Mjasiriamali Bi. Lilian Mhando akimweleza jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (MB) kuhusu unga wa mbegu za maboga alipotembelea banda la wajasiriamali waliop... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More