WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAENDELEO YA MAFUNZO KWA VIJANA KUPITIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA WILAYA YA CHAMWINO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAENDELEO YA MAFUNZO KWA VIJANA KUPITIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA WILAYA YA CHAMWINO

Mwanagenzi mmoja wapo aliyenufaika na Mafunzo ya kilimo cha kisasa kupitia teknolojia ya Kitalu Nyumba (Green House) Bw. Fahdi Lyimo akielezea jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama kuhusu bidhaa ya “Chill Source” iliyotengenezwa na Kikundi cha Vijana kiitwacho The One. Bidhaa hiyo imetumia kutengenezewa na Nyanya zilizovunwa na vijana hao katika Kitalu Nyumba kilichojengwa Halmashauri ya Chamwino. 


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Bw. Festo Masima ambaye ni mmoja wa vijana aliyenufaika na Mafunzo hayo ya kilimo cha kisasa kupitia teknolojia ya Kitalu Nyumba (Green House) kuhusu ujuzi waliopata juu ya kujenga Vitalu nyumba hivyo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Wilaya ya Chamwino ma... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More