WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge, akizungumza na wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, kwenye ziara ya Waziri Mkuu mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018. Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mauji.


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na  Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara ya mkoa Dodoma, Oktoba 10, 2018. Wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati  akiwahutubia wananchi hao, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More