WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kongwa ambaye ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, wakati akiwasili Wilayani Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimuangalia mtoto Magreth Laurent wa Shule ya Saint Francis Kongwa , akizungumza kuwakilisha watoto katika siku ya mtoto duniani, kabla ya kuzungumza na watumishi wa Halmashari ya Kongwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. Mbunge wa Kongwa ambaye ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Kongwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Wilayani Kongwa Dodoma, Oktoba 11, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Kongwa, kwenye ukumbi wa Halmashauri Wilayani hapo, kwenye ziara ya kikazi mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018. 
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Maj... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More