WAZIRI MKUU AFUTURISHA WAHESHIMIWA WABUNGE JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AFUTURISHA WAHESHIMIWA WABUNGE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakiwaongoza Waheshimiwa Wabunge kupata futari aliyowaandalia katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi, Kaimu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Joseph Selasini wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (wakwanza kulia), Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenknlojia Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi (Ofisi ya Waziri Mkuu)-Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Utawala na Raslimaliwatu wa Ofisi ya... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More