WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB JIJINI DAR LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (kulia) aliyeambatana na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela (kushoto) wakati walipofika ofisini kwake Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) aliyeambatana na ujumbe wake kumtembelea ofisini kwake, Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018 ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwake toka aingie rasmi kazini. wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akifuatiwa na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambapa.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa alipokuwa akiutambulisha ujumbe alioambatana nao.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jamb... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More