WAZIRI MKUU AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SHULE YA MSINGI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SHULE YA MSINGI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwalimu wake, Bibi Notburga Ivo Mbepera wakati walipokutana na kuzungumza mjini Songea hivi karibuni. Mwalimu huyo alimfundisha Waziri Mkuu katika Shule ya Msingi ya Mnacho wilayani Ruangwa 1973 - 1980.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More