WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA VIET NAM,AWAKARIBISHA KUWEKEZA BANDARI,USAFIRI WA ANGA NA KILIMO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA VIET NAM,AWAKARIBISHA KUWEKEZA BANDARI,USAFIRI WA ANGA NA KILIMO.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung, katika mazungumzo ya faragha yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung (wa pili kulia) katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung (kulia) katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro, Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung wakitoka ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More