WAZIRI MKUU AMPA POLE MKURUGENZI UENDESHAJI SPORT PESA TANZANIA, TARIMBA ABBAS - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AMPA POLE MKURUGENZI UENDESHAJI SPORT PESA TANZANIA, TARIMBA ABBAS

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mke wa Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, Warda Tarimba Abbas kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More