WAZIRI MKUU AMPA SIKU SABA WAZIRI MWIJAGE KUSIMAMIA KIBALI CHA BM MOTORS - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AMPA SIKU SABA WAZIRI MWIJAGE KUSIMAMIA KIBALI CHA BM MOTORS

Na scolastica Msewa, kibahaWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amempa siku saba Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage kuhakikisha Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linatoa kibali kwa kampuni ya BM Motors cha kutengeneza na kuunganisha bodi za magari. Waziri Mkuu alisema hayo wakati akifunga maonesho ya Wiki ya Viwanda yaliyomalizika mkoa wa Pwani, katika Uwanja wa Sabasaba,Picha ya Ndege,  Kibaha.Alimtaka Waziri Mwijage, ifikapo Ijumaa wiki ijayo ampe taarifa ya maendeleo ya kampuni hiyo kuhusiana na kibali hicho kutoka TBS.Alisema wakati mwingine huo ni urasimu, kama ana tatizo ambiwe aboreshe hawezi awe amekaa tangu mwaka jana analalamika hajapata kibali cha kutengeneza mabodi.”Na kwa nini msimpe hiyo fursa atengeneze bodi halafu mmwambie  arekebishe na mkiwa mmejiridhisha kama ana uwezo wa kutengeneza hayo mabodi na Watanzania waendelee kutengeneza hapa nchini,  badala ya kuagiza nje kwa gharama kubwa haina maana” alisema Waziri Mkuu Majaliwa.Aliongeza kuwa  “... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More