Waziri Mkuu aongoza watanzania mazishi ya watu waliofariki ajali ya moto - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mkuu aongoza watanzania mazishi ya watu waliofariki ajali ya moto

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu Tanzania ameongoza maelfu ya watanzania mazishi ya watu zaidi ya 60 waliofariki kwenye mlipuko wa  lori la mafuta  baada ya kupinduka jana mtaa wa Itigi Msamvu mkoani Morogoro, Anaripoti Hamisi Mguta, Dodoma … (endelea). Leo tarehe 11 Waziri Mkuu amefika Morogoro kwa ajili ya kuungana na wafiwa pamoja na watanzania kwenye ...


Source: MwanahalisiRead More