WAZIRI MKUU ATEMBELEA MJI MPYA WA SERIKALI NCHINI MISRI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MJI MPYA WA SERIKALI NCHINI MISRI

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa Ujenzi wa Mji Mpya wa Serikali (ACUDO), Ahmed Zaki (kulia), wakati alipotembelea mji huo, mjini Cairo, Julai 8.2019. Kutoka kushoto ni Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit, Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mji mpya wa Serikali, wakati alipotembelea mji huo, mjini Cairo, Julai 8.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit (kjushoto), wakati alipotembelea kanisa jipya la Katoliki, katika mji Mpya wa Serikali, mjini Cairo Misri, Julai 8.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit (kushoto), wakati alipotembelea kanisa jipya la Katoliki, katika mji Mpya wa Serikali, mjini Cairo Misri, Julai 8.2019. (Picha na Ofis... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More