Waziri Mkuu atoa maelekezo kufufua michezo nchini - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mkuu atoa maelekezo kufufua michezo nchini

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amesema hali ya kiwango cha michezo nchini si ya kuridhisha hivyo lazima wanamichezo kuanzia shule za awali, msingi, sekondari pamoja na vyuo waandaliwe vyema.  Waziri Majaliwa aliyasema hayo jana katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza wakati akifungua rasmi Mashindano ya Umoja wa Michezo kwa shule za Sekondari nchini UMISSETA, ulioambatana na pia na ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi UMITASHUMTA.  Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella alitoa pongezi kwa viongozi na wadau wote wakiwemo wadhamini wakuu kampuni ya Cocacola kwa kufanikisha maandalizi ya michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA inayofanyika kwa mwaka wa tatu mfululizo Jijini Mwanza ambapo mwakani michezo hiyo itafanyika Jijini Dodoma. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More