WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UPANUZI WA MAJI YA ZIWA VICTORIA NA KUSHUHUDIA UUZAJI WA PAMBA WILAYANI KISHAPU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UPANUZI WA MAJI YA ZIWA VICTORIA NA KUSHUHUDIA UUZAJI WA PAMBA WILAYANI KISHAPU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Old Shinyanga hadi Kishapu, Mwadui na Kolandoto Julai 13, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack (kulia kwake)  baada ya kuzindua Mradi wa Upanuzi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Old Shinya hadi Kishapu, Mwadui na Kilandoto Julai 13, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Bibi, Kezia Ndegeleke wa kijiji cha Isoso ambaye alikuwa na malalamiko ya kutolipwa fidia ya ardhi. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya wilaya ya Kishapu Julai 13, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishuhudia uuzaji wa pamba wakati alipotembelea ghala la Chama cha Ushirika cha Msingi cha Mwangongo wilayani Kishapu Julai 13, 2018. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Mwangongo, Pius Kushoka.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitaz... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More