WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU AZINDUZIA WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Shughuli hiyo imeshudiwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson,  Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kitabu cha Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge mara baada ya kuzindua Mkakati huo leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Anayefuata ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, wa kwanza kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakifurahia uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More