WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB, JIJINI ARUSHA LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB, JIJINI ARUSHA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay pamoja na Mkurugenzi  mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, kwa ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa Simba, AICC jijini Arusha leo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili katika ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo, Ally Laay.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay wakati alipowasili katika ufunguzi wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha. Katikati ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More