Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue nje ya ukumbi wa Nelson Mandela,kwenye mkutano wa Viongozi Wakuu wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 12, 2019, (katikati) kushoto ni Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, (katikati) kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Source: Issa MichuziRead More