WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA ENEO LA AJALI YA KIVUKO KATIKA KISIWA CHA UKARA, MWANZA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA ENEO LA AJALI YA KIVUKO KATIKA KISIWA CHA UKARA, MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela (katikati) na Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo kuelekea katika eneo kilipozama Kivuko cha MV Nyerere katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe, Septemba 21, 2018. Kivuko hicho kinatoa huduma kati ya Kisiwa cha Ukara ba JKisiwa cha Bugorola. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere kinachotoa huduma kati ya kisiwa cha Ukara na Bugorola wilayani Ukerewe wakati alipowasili kwenye kisiwa cha Ukara kujionea shughuli za uokoaji Septemba 21, 2018. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More