WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NCHINI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Maonesho ya kimataifa ya Utalii ya  Swahili International Tourism Expo (SITE) yatakayofanyika Oktoba 12 hadi 14.
Maonesho hayo yameandaliwa na Bodi ya Utalii Nchini (TTB) yatafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa JNICC yakiwa na lengo la kuwaunganisha wafanyabishara wadogo na wa kati wa utalii Tanzania pamoja na wafanyabishara kutoka masoko makuu ya utalii duniani yameweza kudhaminiwa na wadhamini kadhaa wakiongozwa na Tanzania Ocean Cruisng and Safaris Ltd.
Akizungumzia maandalizi kueleka maonesho ya mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Nchini (TTB) Devotha Mdachi amesema kuwa maandalizi yamekaamilika kwa asilimia kubwa na mgeni rasmi akitaraiwa kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Amesema kuwa, maonesho hayo yatakuwa yanafunguliwa kuanzia saa nne asubuhi nna kufungwa saa 12 jioni na huduma mbalimbali zitakuwa zinafanyika ikiwemo bidhaa za u... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More