WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

1Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa jimbo la Gairo Mh. Ahmed Shabiby katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma mara baada ya bunge kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana.PICHA NAJOHN BUKUKU-BUNGENI JIJINI DODOMA 2Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha Mh. Amina Mollel. 3Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo Mufindi Mh. Mahmoud Mgimwa katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo. 4Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa jimbola Dodoma mjini na Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu (kazi, Vijana na ajira) Anthony Mavunde na vijana wa UVCCM Dodoma walipotembelea bungeni.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More