WAZIRI MKUU MAJALIWA AMALIZA ZIARA MKOANI KAGERA NA KUWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMALIZA ZIARA MKOANI KAGERA NA KUWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa mkoa wa Kagera katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera kwenye ukumbi wa ELCT, mjini Bukoba, Oktoba 9, 2018.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti, Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa  na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage. Baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera kwenye ukumbi wa ELCT, mjini Bukoba. Oktoba 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
NA OWM, KAGERAWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha kazi Afisa wa Forodha katika mpaka wa Mulongo  Bw. Peter... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More