WAZIRI MKUU MAJALIWA AREJEA NCHINI AKITOKA NCHINI CHINA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU MAJALIWA AREJEA NCHINI AKITOKA NCHINI CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitoka nchini China, Septemba 9, 2018 alikomwakilisha Rais John Magufuli kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More