WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA IDARA YA FAMILIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA IDARA YA FAMILIA
Zawadi ya picha ya kuchorwa aliyozawadiwa Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kanisa la Waadventista Wasabato la Magomeni Mwembechai katika ibada ya kuadhimisha miaka 100 tangu Kanisa hilo lianzishe idara ya familia. Mchoraji ni Sethi Samuel KENGURU, mwenye makazi yake katika jiji la Arusha.
Na Derek Murusuri, Magomeni, Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa: "Serikali ya awamu ya tano itaendelea kuheshimu uhuru wa kuabudu nchini."

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa: "Serikali yetu itaendelea kushirikiana na dini zote katika taifa letu ili kuleta utulivu, amani na umoja wa kitaifa. Kuja kwangu hapa katika Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni kuabudu pamoja nanyi leo ni uthibitisho huo."

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa: "Kitabu cha Ayubu 22:21 kinasema, "mjue sana Mungu ili uwe na amani; ndivyo mema yatakavyokujia."
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa: "Serikali yetu itaendelea kumtegemea Mungu katika kuwaletea wata... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More