Waziri Mkuu Majaliwa awataka MaRC kufuata sheria katika kutekeleza majukumu yao - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mkuu Majaliwa awataka MaRC kufuata sheria katika kutekeleza majukumu yao

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema viongozi hao wa mikoa watazingatia kikamilifu mipaka ya madaraka yao na kwamba hatua watakazozichukua katika uongozi na utendaji wao zitazingatia sheria, kanuni na taratibu zilizopo nchini.


“Mkadumishe uhusiano mwema baina yenu na watumishi walio chini yenu, kwa kuzingatia kuwa kila mtumishi anao mchango katika kuboresha utendaji kwenye kituo chake cha kazi. Nina matarajio makubwa kuwa mtadumisha uhusiano mzuri kikazi na viongozi wa juu na pia uhusiano wa diplomasia ya heshima na viongozi wengine ndani ya mihimili yetu mitatu.”


Waziri Mkuu amewataka viongozi hao wahakikishe kila mmoja wao anaandaa mpango kazi unaoainisha shughuli zake za kila siku. “Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Wakuu wa Idara wote na Watumishi wote wawe na mpango kazi wa utekelezaji wa majukumu yao.”


Amesema viongozi hao wanatakiwa wasimamie nidhamu kazini na uwajibikaji wa watumishi kwa wananchi, ambapo pia amewasihi watende haki kwa wananchi n... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More