Waziri Mkuu Majaliwa kufungua Mkutano wa Maafisa Ustawi wa Jamii - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mkuu Majaliwa kufungua Mkutano wa Maafisa Ustawi wa Jamii

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kufungua mkutano wa siku tatu wa maafisa ustawi wa jamii mikoa 26 na halmashauri zote nchini wenye lengo la kujadili utendaji kazi, utoaji huduma za ustawi wa jamii na mifumo ya utendaji kazi. 
Akizungumza na habarileo jijini hapa, Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais Tamisemi, Rashid Maftaha, alisema mkutano huo unatarajia kuanza Januri 29 hadi 31 mwaka huu jijini Dodoma. 
Alisema mkutano huo unatarajia kushirikisha washiri takribani 370 ikiwamo maafisa ustawi wa jamii wa mikao 26, halmashauri 184, wadau wa maendeleo, na wizara za kisekta ambazo zinahusiana na utoaji wa huduma za ustawiwa jamii, kama wizara ya elimu, afya, Katiba na Sheria, Viwanda na Biashara, madini na kilimo. 
“ Unaweza jiuliza, Wizara ya Madini inahusikajie na huduma za ustawi wa jamii, hawa ni wadau muhimu, kwani kwenye migodi kuna utumikishwaji wa watoto, na hata watumishi wake wanakuwa wako mbali hivyo ni lazima... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More