WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI MAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE) - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI MAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE)

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, akiwahutubia wadau wa Utalii, kwenye ufunguzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE), yaliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam.  Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Japhet Hasunga (MB) akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la S!TE jijini Dar es salaam. Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa, akitoa neno la shukurani kwa kila aliyeshiriki katia maonesho ya S!TE yanayo endelea katika ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam. Karibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Nkenda Kama akizunguza wakati wa uzinduzi wa S!TE.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo akizungumza wakati wa uzinduzi wa S!TE 2018
 Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Bi. Devotha Mdachi akizungumzia juu ya Maonesho ya S!TE wakati wa Uzinduzi Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, akiwa katika banda la Maliasili na utalii.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika banda la Mdhamini mkuu, Tanzania Ocea... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More