Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa azipa maagizo kamati za ulinzi - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa azipa maagizo kamati za ulinzi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya nchini kuhakikisha zinachukua hatua kali dhidi ya watu watakaobainika kuingiza bidhaa za chakula na mafuta ya kupikia kwa njia za magendo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Zainab Vullu aliyetaka kufahamu


Source: Kwanza TVRead More