Waziri Mpina, aamuru kuundwa Idara ya Ulinzi wa Mifungo na Mazao yake - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mpina, aamuru kuundwa Idara ya Ulinzi wa Mifungo na Mazao yake

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameamuru kuundwa Kitengo kipya cha Usimamizi na Udhibiti wa Rasilimali za Mifugo katika Idara ya Uzalishaji na Masoko cha Wizara hiyo ili kutoa ulinzi wa kutosha kwa mifugo na mazao yake baada ya kubainika kuwepo mianya mikubwa ya utoroshaji rasilimali hizo nje ya nchi na uingizaji holela wa


Source: Kwanza TVRead More