Waziri mpya wa Kilimo Tanzania Japhet Hasunga asema wafanyabiashara watajua hatima yao baada ya serikali kununua korosho zote - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri mpya wa Kilimo Tanzania Japhet Hasunga asema wafanyabiashara watajua hatima yao baada ya serikali kununua korosho zote

Wanawake wajasiriamali wanaoshughulika na kubangua korosho nchini Tanzania wamelalamikia mpango mpya uliotangazwa na rais Magufuli ambapo sasa jeshi la nchi hiyo litasimama biashara hiyo


Source: BBC SwahiliRead More