WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA WARSHA YA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI MKOANI MOROGORO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA WARSHA YA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI MKOANI MOROGORO

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimbali za Kitakwimu. Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Mr. Irenius Ruyobya akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimbali za Kitakwimu. Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari walioshiriki katika warsha ya siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kuwajengea wahariri wa vyombo vya Habari uwezo wa kuripoti taarifa mbalimb... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More