WAZIRI MWAKYEMBE AMTAKA MHANDISI WA JENGO LA WIZARA KUONGEZA JUHUDI ILI KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI MWAKYEMBE AMTAKA MHANDISI WA JENGO LA WIZARA KUONGEZA JUHUDI ILI KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto) akimsikiliza Mhandisi Hagay Mziray (kulia) kutoka Kampuni ya Mzinga Holding Company Ltd alipokuwa akitoa maelezo kuhusu hatua walizofikia katika ujenzi wa ofisi hiyo ya Wizara,usiku wa kuamkia leo Jumatatu Februari 11,2019 wakati Mheshimiwa Waziri huyo alipotembelea eneo hilo la ujenzi kufuatila utendaji kazi na kasi ya ujenzi ya ofisi hiyo unaotarajiwa kumalizika hivi karibuni, katika Mji wa Serikali uliyopo eneo la Ihumwa Jijini Dodoma, wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt.Harrison Mwakyembe usiku wa kuamkia leo Jumatatu Februari 11,2019 akisaini kitabu cha wageni alipofika katika kiwanja ambacho ujenzi wa ofisi ya wizara unaendelea katika Mji wa Serikali uliyopo maeneo ya Ihumwa jijini Dodoma,kwa lengo la kufuatilia maendeleo ya ujenzi huo ambao unatakiwa kumalizi... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More