Waziri Mwakyembe apiga panga maproo Ligi Kuu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Mwakyembe apiga panga maproo Ligi Kuu

DAKTARI Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu  ya Tanzania, kila timu itawatumia wachezaji watano tu katika mchezo mmoja. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Dk. Mwakyembe amesema hayo wakati akizungumza katika harambee kubwa ya kuichangia Klabu ya Yanga, iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar ...


Source: MwanahalisiRead More