WAZIRI PROFESA NDALICHAKO AAGIZA VYUO VINAVYOTOA ELIMU YA 'UBABASHAJI' VIFUTWE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI PROFESA NDALICHAKO AAGIZA VYUO VINAVYOTOA ELIMU YA 'UBABASHAJI' VIFUTWE

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungunza leo jijini Dar es Salaam wakati anazindua rasmi Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya UfundiBaadhi ya washiriki kwenye uzinduzi wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako(hayupo pichani).Mkurugenzi wa Nacte akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi.Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi Profesa John Kandoro akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Baraza hilo.
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii.
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ametoa maagizo kwa Baraza la Elimu ya Ufundi(Nacte)kutosita kuchukua hatua ikiwamo ya kuvifuta vyuo ambavyo vitabainika kutoa elimu kwa ubabaishaji.
Pia amelishauri Baraza hilo kuhakikisha linasimamia na kutoa muongozo kuhusu pr... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More