WAZIRI UMMY ACHANGIA VIFAA VYA UJENZI WA MADARASA SHULE ZA SEKONDARI TANO JIJINI TANGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI UMMY ACHANGIA VIFAA VYA UJENZI WA MADARASA SHULE ZA SEKONDARI TANO JIJINI TANGA

 MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Tanga(CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji sehemu ya matofali aliyotoa kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ili wanafunzi wapata fursa ya kusoma  MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Tanga(CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akilakiwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Pongwe Jijini Tanga wakati alipokwenda kuwakabidhi matofali na mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Tanga(CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akikagua madarasa kwenye ambayo hayajakwisha kwenye shule ya Sekondari Pongwe kabla ya kuwakabidhi mifuko ya saruji na matofali  kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Tanga(CCM) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ku... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More