WAZIRI UMMY MWALIM ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI MBEZI FUN RUN - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI UMMY MWALIM ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI MBEZI FUN RUN


MWANDAAJI wa mbio za kujifurahisha maarufu ‘Mbezi Fun Run’  Shomari Kimbau amesema mbio hizo  zimepangwa kufanyika Desemba Mosi, kwenye hoteli ya Ramada Kunduchi, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Kimbau amesema mbio hizo zimeandaliwa na umoja wa wakazi wa Mbezi Beach zikiwa na lengo la kufahamiana na kubadilishana mawazo na kusaidia kwenye changamoto mbalimbali huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu.

Amefafanua mbio hizo zitaanzia kilomita 21, kilomita 10 na kilomita tano ambazo zitashirikisha pia makundi mbalimbali ya watu watakaopenda kushiriki ikiwemo vikundi vya Jogging . "Hizi ni mbio za kujifurahisha, na atakayependa kutembea pia ni sawa, na si kwa wakazi wa Mbezi tu, Wilaya zote tano za mkoa wa Dar es Salaam wanakaribishwa, lengo ni kutuleta pamoja wana Dar es Salaam.”alisema Kimbau na kuongeza

“Kama mnavyojua siku hiyo ya Desemba Mosi itakuwa ni siku ya Ukimwi duniani,... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More