Waziri Ummy: Tunafuatilia kwa karibu Ebola Uganda - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri Ummy: Tunafuatilia kwa karibu Ebola Uganda

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema serikali imepokea kwa tahadhari kubwa taarifa ya uwepo mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Ummy amesema hayo leo tarehe 12 Juni 2019 wakati akichangia hoja kwenye taarifa ya Shirika la Afya (WHO) nchini Uganda kuhusu kuthibitishwa ...


Source: MwanahalisiRead More