Waziri wa Fedha Kenya ajisalimisha - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri wa Fedha Kenya ajisalimisha

HENRY Rotich, Waziri wa Fedha nchini Kenya amejisalimisha kwa maafisa wa upelelezi, saa kadhaa baada ya Noordin Haji, Mkurugenzi wa Mashtaka kuagiza akamatwe. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Rotich amejisalimisha katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi nchini Kenya leo tarehe 22 Julai 2019, kuitikia wito wa Haji. Ni kuhusu tuhuma zinazomkabili za kukiuka muongozo ...


Source: MwanahalisiRead More